Hadithi za kwetu,ni mchanganyiko wa hadithi za mapenzi na matukio mbalimbali ya kijamii hapa Tanzania,Mtakuwa mkipata hadithi kila siku katka Blog hii ya Hadithi za kwetu.Yako mambo mengi ya kujifunza katika Blog hii,ambayo jamii,itaweza kujifunza kutokana na matukio mengi,yanayotokea kila siku kwenye jamii.Nina imani,tutakuwa pamoja na kujenga ushirikiano,katika kufanikisha kila kitu,kinaenda sawa,karibuni wote kwenye Blog ya hadithi za kwetu.
Translate
Sunday, September 2, 2012
TULIPENDANA KAMA PETE NA KIDOLE(2)
Katika sehemu iliyopita,tumeona Baba sikujua na Mzee chaurembo,wakiwa kwenye kijiwe chao,sehemu ambayo wanakutana mara kwa mara,kwa ajili ya kunywa kahawa pamoja na Jungu kuu,Mzee ambae amekuwa kivutio kikubwa kwa jamii,kwa sababu ya upendo wa dhati aliokuwa nao,kwa mke wake.Baada ya Jungu
kuu kupata kahawa na kuelekea kivukoni,huko ndiko anakofanya kazi,muda mrefu haukupita,mama Rajabu,alipita pale kwenye sehemu wanapokutana kunywa kahawa,na kusalimiana na Mzee chaurembo na Baba sikujua.Baada ya Mama Rajabu kuondoka kuelekea sokoni Buguruni,Mzee chaurembo akamgeukia Baba sikujua,na kumfahamisha kuhusu mama Rajabu,ya kwamba ndio mke wa Jungu kuu.(sasa endelea....)
Christopher ni kijana aliyesoma hadi chuo kikuu,na kuchukua shahada ya uchumi,alikuwa anaishi maeneo ya Mbagala.siku moja wakati akiwa anapita kwenye kijiwe cha kahawa pake Buguruni,akasimama na kusalimiana na wazee pale,kisha Mzee chaurembo akamkaribisha kahawa na kukaa kwenye kiti,kwa ajili ya kunywa kahawa.Wazee walikuwa bado wanataniana kwa maongezi ya hapa na pale.Christopher alipendezewa sana ,na maongezi pale,kisha akauliza samahani wazee,naomba kuuliza kuhusu huyo Jungu kuu,anakaa wapi?
Mzee chaurembo akadakia na kumjibu yule kijana,huyo Jungu kuu anakaa hapa hapa karibu na mgahawa,ila kwa muda huu yupo kazini.ukitaka kuonana nae,njoo asubuhi au jumapili wakati wowote utamwona.
Christopher akapata shauku ya kuja kumwona jumapili.baada ya hapo,akaaga na kuondoka kuelekea Mbagala,alipokuwa anaishi.Ilikuwa majira ya saa 2,usiku Jungu kuu alikuwa bado hajarudi nyumbani.Kawaida hurudi mapema na kupitia kwenye mgahawa,kisha huelekea nyumbani kwake.
Mama Rajabu akaanza kupata wasiwasi,akamtuma mwanae Rajabu,aende pale kwenye mgahawa kwa ,ajili ya kumuangalia Baba yake.Kwa bahati nzuri,Rajabu alipofika kwenye kijiwe cha Kahawa,kabla hajauliza Jungu kuu,akafika pale kijiweni.Jungu kuu akasalimiana na wazee wenzake,kisha akamgeukia mwanae Rajabu,vipi mwanangu mbona uko hapa?Rajabu akamjibu,Mama alinituma nije kukuangalia,kwa sababu alikuwa na wasiwasi na muda mwingi.Baada ya hapo,akaondoka na mwanae kuelekea nyumbani kwake.
Mama Rajabu,akashusha pumzi na kumshukuru mungu.Wakasalimiana na baada ya hapo,akampelekea maji bafuni,kwa ajili mumewe kuoga.Baada ya hapo,wakapata chakula cha usiku,na kuenda kupunzika.Mzee chaurembo na baba sikujua,pamoja na wazee wengine,wakaagana,kila mmoja akaelekea nyumbani kwake.
Friday, August 31, 2012
TULIPENDANA KAMA PETE NA KIDOLE (1)
Ilikuwa kama kawaida yangu,nikitoka nyumbani kuelekea kazini,huwa napita kwenye baraza la kunywa kahawa,katika maeneo ya Buguruni kwa Mnyamani,kisha baada ya hapo naelekea kivukoni.Siku moja nilitoka nyumbani mapema sana,nikafika maeneo ya kunywa kahawa,majira ya saa moja Asubuhi.Watu wanaokunywa kahawa pale Mnyamani,walikuwa wakinifaham ,kwa jina la utani,kama JUNGU KUU"
Muda huo,mzee chaurembo na Baba sikujua,walikuwa wamekwishafika kwenye kibaraza cha kahawa.Niliwasalimia na kuanza kunywa nao,kahawa.Mzee chaurembo,akamuliza Jungu kuu,hawajambo nyumbani?Jungu kuu akamjibu,Mke wangu hajambo.Baba sikujua akashtuka kidogo,na kumuliza Jungu kuu,mwenzio mzee chaurembo,amekuuliza nyumbani hawajambo?Lakini nashangaa ulivyomjibu kwamba,mke wako hajambo.Kabla jungu kuu ,hajamjibu Baba sikujua,Mzee chaurembo akadakia,unajuwa wewe Baba sikujua,ni kama jina lako,kama ungejua?usingeshangaa na kumuliza Jungu kuu.Mimi huyu ni jirani yangu,Jungu kuu namsifu sana,kwa sababu anajua kumpenda mkewe na si hivyo tu,hata mke wake Jungu kuu,anampenda sana mumewe.Kwa ujumla wanapendana sana.
Muda ulipofika wa kuelekea kazini,Jungu kuu akaondoka na kuelekea kazini.Wakati Jungu kuu,amekwisha ondoka,Baba sikujua akameukia Mzee chaurembo,kumbe mwenzetu anajuwa kupenda kiasi hicho?Mzee chaurembo akamjibu,Barabara Jungu kuu,anajuwa kupenda sio utani.Wakati wakiwa wanaendelea kuongea,Mama Rajabu,ambae ndie ,mke wa Jungu kuu,akapita pale,walipokuwa wanakunywa kahawa.Mama Rajabu,akasimama na kusalimia,kisha Mzee chaurembo,akamuliza Mama Rajabu,unaelekea wapi?Mama Rajabu akamjibu,naelekea sokoni,kununua chakula.Mzee chaurembo,akamwambia mumeo,tulikuwa nae ,muda si mrefu ameelekea kazini.Mzee chaurembo akamwambia Baba sikujua,yule mama alitusalimia sasa hivi,ndio Mke wa,Jungu kuu.
Friday, June 15, 2012
NAMPENDA KUTOKA MOYONI(SEHEMU YA 12)
Katika sehemu iliyopita tumeona Athumani akijinunulia magazeti,na kukutana na jalada la warembeo,hatimae kufanikiwa kumwona Rehna,ambae ndie mpenzi wake .Kama kawaida yake Athumani,aliweza kumpigia simu Rehna ,na kupanga waonane Bamaga mchana,lakini mkewe Athumani,ambae ni jini,alikuwa akiwasikiliza maongezi yao kwa makini,baada ya hapo Asha alienda kwa njia ya upepo,mpaka chumbani kwa Rehna,alipofika akamkaba Rehna mpaka akaanza kutapika,Asha alifanya hivyo,Lakini Rehna hakuwa akimwona Asha. (sasa endelea.....)

Athumani akaendesha gari mpaka kwenye ufukwe wa bahari,akaiona hoteli nzuri maeneo ya Coco beach.Akaongea na mhudumu wa hoteli,na kuchukuwa chumba namba 23,Wakiwa chumbani wamejipunzisha kitandani,Athumani na Rehna,wakiwa wanashikana sehemu za mwili,Asha akaingia chumbani na kuvua nguo zake,akajitupa kitandani.Athumani akaushika uume wake kuingiza kwa Rehna,Lakini Asha akaudhika na kuingiza yeye mahala pake,kisha Asha akachukuwa mkono wake na kuuingiza sehemu ya Rehna,Ilikuwa ni mbinu ya khali ya juu,aliyotumia jini Asha.Kwa mkono wa Asha aliweza kuukunja na kuupekecha mpaka Rehna akawa anasikia maumivu makali badala ya starehe.Rehna akamwambia Athumani ,mbona unaniumiza?
Athumani akamjibu Rehna vumilia baby,mbona mimi najisikia raha kama nikiwa na mke wangu.(nini kitatokea?angalia sehemu ijayo)

Athumani akaendesha gari mpaka kwenye ufukwe wa bahari,akaiona hoteli nzuri maeneo ya Coco beach.Akaongea na mhudumu wa hoteli,na kuchukuwa chumba namba 23,Wakiwa chumbani wamejipunzisha kitandani,Athumani na Rehna,wakiwa wanashikana sehemu za mwili,Asha akaingia chumbani na kuvua nguo zake,akajitupa kitandani.Athumani akaushika uume wake kuingiza kwa Rehna,Lakini Asha akaudhika na kuingiza yeye mahala pake,kisha Asha akachukuwa mkono wake na kuuingiza sehemu ya Rehna,Ilikuwa ni mbinu ya khali ya juu,aliyotumia jini Asha.Kwa mkono wa Asha aliweza kuukunja na kuupekecha mpaka Rehna akawa anasikia maumivu makali badala ya starehe.Rehna akamwambia Athumani ,mbona unaniumiza?
Athumani akamjibu Rehna vumilia baby,mbona mimi najisikia raha kama nikiwa na mke wangu.(nini kitatokea?angalia sehemu ijayo)
Tuesday, June 12, 2012
NAMPENDA KUTOKA MOYONI(SEHEMU YA KUMI NA MOJA)
Katika sehemu ya kumi tumeona jinsi alivyopata msukosuko wa moyo,baada ya kushuhudia tukio,ambalo ,bado anajiuliza mpaka leo,hivi yule nilyemuona amekumbatiwa na jamaa,alikuwa mke wangu?jibu hajalipata,ila endelea sehemu hii,utapata ukweli wa mambo.(sasa endelea.....)
Mwandishi wa kujitegemea Thomas,alifanikiwa kutoa jalada maalumu,katika gazeti la warembo,kwa ajili ya kumzungumzia Rehna.Ilikuwa majira ya saa mbili asubuhi,gazeti la warembo lilikwisha sambaa mitaani.Athumani kwa muda huo,alikuwa akielekea kazini,akiwa njiani,aliweza kujinunulia magazeti 2,uhuru na mzalendo,katika kupitisha macho kwenye meza ya magazeti,akaona picha kubwa ya binti,anakuja kwenye hisia,kama kuna sehemu,alikwisha muona.Akachukuwa nakala moja,akaangalia kwa makini na kusoma,akaona maelezo yako sahii,ni kweli anamfaham binti yule,Rehna.Akajinunulia nakala moja inayomzungumzia Rehna,na kupanda gari,kulekea kazini.Athumani alipofika kazini,akachukuwa simu yake ,na kumpigia Rehna.Wakasalimiana na kukumbushana siku waliyokuwa pamoja coco beach.
Athumani akampongeza Rehna,hongera nimeona umetoka kwenye gazeti la warembo.Rehna akamjibu Athumani,sina taarifa yeyote juu ya jalada la warembo.Athumani akamwambia Rehna,usijali ninalo,nitakupa baadae.naomba tuonane Bamaga majira ya mchana.Rehna akamjibu sawa dear.
Asha mke wa Athumani alikuwa ni jini,ambae hakutaka mumewe Athumani ajuwe kwamba yeye ni jini.watu wengi wamekuwa wakiishi na majini,pasipo kuelewa.hii imesababisha mifarakano mingi katika ndoa.Wakati Athumani akiongea na Rehna,Asha ambae ndie mke wa Athumani,alikuwa palepale ofisini,akimsikiliza mumewe.Asha akatafakari nini afanye,akaondoka mpaka nyumbani kwa Rehna.Alipofika akaingia kama upepo,mpaka chumbani kwa Rehna,Asha akamkaba Rehna shingoni,mpaka Rehna akajisikia uchungu kama anakufa,akamuachia.Rehna akaanza kutapika,mfululizo,Asha alikuwa amesimam anacheka,kumbuka Asha ndie anamuona Rehnna.(nini kitatokea?endelea sehemu ifuatayo
NAMPENDA KUTOKA MOYONI-(SEHEMU YA KUMI)
Katika sehemu ya tisa.tumeona Thomas,akikutana na Mrembo Rehna,Baada ya ktambulishana,akachukuwa maelezo ya Rehna na picha,kwa ajili ya kwenda kutoa kwenye gazeti la warembo.pia tumeona Athumani akienda kituoni kwa ajili ya kupata taarifa za kesi na siku ya kwenda kuhudhuria mahakamani,baada ya hapo,athumani alirejea nyumbani kwake,lakin hakuweza kumkuta mke wake.akampigia simu,lakini ilikuwa haipatikani,mwisho akaondoka na gari kuelekea mjini.Aliendesha gari taratibu,huku akiangaza huku na kule,akamwona mke wake amekaa pembeni mwa hoteli na jamaa mnene ,akiwa amemkumbatia mkewe.(sasa endelea....)
Athumani akasogeza gari mpaka pale karibu na mkewe na jamaa walipokaa.Athumani akashuka kwenye gari akiwa na hasira nyingi,alipokaribia akaona kibibi kizee,kinalia.palepale alipokaa mkewe na jamaa yake,akaangaza macho pande zote nne,hakuweza kumwona mke wake ,wala yule jamaa.Athumani akashangaa sana,yule bibi akamuliza Athumani ,una matatizo gani mjukuu wangu?Athumani akamjibu,kuna jamaa alikuwa na mwanamke wamekaa hapo ulipo kaa,nashangaa nimeshuka kwenye gari siwaoni,nakuona wewe.Bibi akamjibu Athumani,sikiliza mjukuu wangu,hapa mimi nipo tokea jana kwenye kiti hichi,hakuna mtu mwengine aliyekaa hapa.Athumani akafikiria sana,mara simu ikawa inalia,kuangalia namba ,akaiona simu ya mke wake Asha,Hakuweza kuamini akapokea simu,Atumani akamuliza mke wake,uko wapi?Asha akamjibu mimi nipo nyumbani.Athumani akamuiza tena Asha,mbona nilikuja sijakuona?Asha akamjibu,nilikuwa nyumba ya pili,nilienda kusuka.Athumani akawasha gari na kuelekea nyumbani kwake,Alipofika akamkuta mkewe.Athumani alikuwa na hasira lakini ,hakuwa na ushaidi kamili wa tukio la mkewe.Asha akamtayarishia chakula,baada ya hapo,wakawa wanakula chakula pamoja.Athumani alimpenda kutoka moyoni Asha,lakini bado ,hajatambua kwamba Asha ni jini.Mengi ya kusisimua tutayaona baadae.wakati ,Athumani akiwa anajaribu kumsaliti, Asha na wapenzi wengine.
Monday, June 11, 2012
NAMPENDA KUTOKA MOYONI( SEHEMU YA TISA)
Katika sehemu iliyopita tumeona Polisi baada,ya kupewa taarifa za wizi,waliweza kufanikiwa kuwakamata wahalifu wote,waliohusika kwenye uvamizi wa nyumba ya Athumani.Waliweza kufikishwa kituoni,kwa ajili ya kufungua jalada la kesi,ili kuipeleka kesi mahakamani.(sasa endelea......)
Ilikuwa ni siku ya jumanne asubuhi,Thomas ambae alikuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea,alikuwa katika pita zake mitaani,akakutana na msichana mrembo,aliyejulikana kwa jina la Rehna.Wakati Thomas alipokutana na Rehna,ilikuwa nje kidogo ya nyumbani kwao.Thomas akamsalimia Rehna,hujambo dada?Rehna akamjibu sijamba Kaka.Thomas akajitambulisha kwa Rehna kama ifutavyo,Samahani dada,Naitwa Thomas,ni mwandishi wa habari wa kujitegemea.Rehna akamjibu,nashkuru kwa kunifahamisha,naitwa Rehna,ni mwanafunzi.
Thomas akamwambia Rehna,napenda nipate maelezo yako kwa ujumla,pamoja na picha nitakupiga,wewe ndio mrembo utakaonekana kwenye gazeti la warembo.Rehna akatoa maelezo yote na kumpatia Thomas.baada ya maelezo,Thomas akampiga picha 4.Alipomaliza akachukuwa namba ya simu,wakaagana.
Athumani aliondoka,nyumbani kwake kwa ajili ya kuelekea kazini.Alipofika kazini akaendela na kazi mpaka majira ya saa 7 mchana.Baada ya hapo,akaelekea kituoni,kwa ajili ya kujuwa siku ya kesi.Alipofika kituoni,akakutana na Afisa mpelelezi na kupewa maelezo kamili.Athumani alitakiwa kuhudhuria kesi mahakamani tarehe 12 julai.
Athumani akaondoka kuelekea nyumbani.Alipofika nyumbani kwake,akamkuta mke wake,hayupo.
Athumani akampigia simu mkewe,lakini simu ya mkewe ilikuwa haipatikani.Athumani akatoka nyumbani na kuendesha gari mpaka mjini.Alikuwa akiendesha gari,huku akitupa macho yake pande zote mbili.Ghafla akamuona mkewe amekaa kwenye kiti pembeni mwa hoteli,akiwa amekumbatiana na Jamaa mmoja mnene.(nini kitatokea?angalia sehemu ya kumi)
Sunday, June 10, 2012
NAMPENDA KUTOKA MOYONI(SEHEMU YA NANE)
Katika sehemu iliyopita tumeona tukio lililotokea nyumbani kwa Athumani,baada ya kundi la watu wasiojulikana kuvamia hapo nyumbani kwa Athumani,na kupora vitu mbalimbali,baada ya tukio,Athumani na mkewe Asha,wakaondoka kuelekea mjini,na kuripoti kituo cha polisi,kisha sehemu anayofanyia kazi,baada ya hapo,wakaelekea baharini kwa ajili ya kujipunzisha.Wakiwa huko,Athumani alimuliza mkewe,kama ana upo wowote,kuhusu tukio zima kwa ujumla,kisha wakapata wazo,huwenda rafiki yake Asha,akawa chanzo cha tukio.Wakaondoka kuelekea kituo cha polisi kuripoti,Polisi wakaamua kwenda nao mpaka nyumbani kwa chiku.Walipofika wakaizingira nyumba,na kutoa tangazo maalum.(sasa endelea.....)
Polisi waliamuru kila mtu aliye katika nyumba ile,atoke kwa usalama wake,kabla jeshi la polisi ,halijachukuwa mkondo wake wa sheria.Watu wakaanza kutoka mmoja baada ya mwengine,kulikuwa na watu 12,ndani ya nyumba ile,wengine 3,walikuwa wapangaji katika nyumba ile.Kati ya hao,wale wote waliokuja kupora nyumbani kwa Athumani.Baada ya wote kutoka,polisi akamuliza Athumani,je unawafahamu hawa?Athumani akajibu,hawa sita ndio waliokuja kupora asubuhi ya leo,nyumbani kwangu.Polisi wakawatia pingu wale wote sita,pamoja na chiku.Kisha polisi akawauliza wale waporaji,vitu viko wapi?
mmoja wao akajibu,vipo ndani chumbani kwa chiku.
Polisi na Athumani,wakaelekea ndani ya chumba cha chiku,waliweza kukuta vitu vingi,pamoja na silaha za kila aina,ndani ya chumba.Wakatoa vitu vyote na kuvipakia kwenye gari,kisha wakaelekea kituoni.Walipofika kituoni wakfungua kesi zidi ya waporaji,na kuandaa jalada,kwa ajili ya kuipeleka kesi mahakamani.
Athumani akamwambia mkewe Asha,umeona faida ya mashoka kama hawa?Asha akamjibu mumewe,yaani sikutegemea,kweli kikulacho.....ni kinguoni mwako.Kwa hili mume wangu nimejifunza mengi sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)
